Tuesday, 8 August 2017

BAADHI YA MABANDA KATIKA MAONESHO YA NANENANE MKOANI LINDI YAKITOA HUDUMA KWA WANANCHI

 OFISA  Rasilimali watu wa Kurugenzi ya Rasilimali Watu na Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Peter Valerian akiwapa maelezo wananchi waliotembelea Banda la BoT  katika maonesho ya Nanenane kwenye  viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
 Afisa wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Tawi la Mtwara, Denis Malosha akitoa maelezo ya utoafautishaji Noti bandia na Noti halali  kwa wananchi waliotembelea banda la BoT katika maonesho ya Nanenane kwenye  viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
 Afisa wa BoT, akionesha noti chakavu ambazo wananchi hawapo (pichani) wamezipeleka katika maonesho ya Nanenane kwenye  viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
 Wananchi wakipata maelezo katika maeneo tofauti ndani ya banda la BoT katika  maonesho ya Nanenane kwenye  viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
 Afisa Uhusiano wa Tazara, Regina Tarimo akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea Banda la Tazara katika maonesho ya Nanenane kwenye  viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.
Meneja wa Kitengo cha Hali ya Hewa Kilimo wa TMAA , Isack Yona akiwapa maelezo wananchi waliotembelea banda la mamlaka ya hali hewa nchini TMAA, katika  maonesho ya Nanenane kwenye  viwanja vya Ngongo mkoani Lindi.

No comments:

Post a Comment