Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi (kushoto) akimkabidhi baba wa watoto pacha wanee, Abednego Andrew Mafuluka mkazi wa Kimara Mwisho, Dar es Salaam mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 ikiwa ni msaada kwa mapacha hao wanne. Benki ya NMB imewafungulia akaunti za watoto kwa kila mtoto na kuwawekea shilingi cha shilingi milioni 10, kuwasaidia wazazi na watoto hao hapo baadaye. Wa pili kulia ni mama mzazi wa mapacha hao, Sara Dimosso akiwa kabeba watoto wake huku akisaidiwa na nduguye. Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi (kushoto) akimkabidhi mama mzazi wa watoto wanne mapacha, Sara Dimosso (kulia) mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 ikiwa ni msaada kwa watoto mapacha wanne aliojifungua hivi karibuni. Benki ya NMB imewafungulia akaunti za watoto kwa kila mtoto na kuwawekea shilingi milioni 10 ikiwa ni kuwasaidia wazazi na watoto hao hapo baadaye. Katikati ni baba wa watoto pacha wanee, Abednego Andrew Mafuluka akishiriki kupokea msaada huo. Mama mzazi wa watoto mapacha wanne, Sara Dimosso (kulia) pamoja na mume wake, Abednego Andrew Mafuluka (katikati) wakipiga picha ya pamoja na mfano wa hundi ya shilingi milioni 10 iliyokabidhiwa na Benki ya NMB ikiwa ni msaada kwa watoto mapacha wanne aliojifungua hivi karibuni. Kulia ni Meneja wa Benki ya NMB Tawi la Ubungo, Evelyne Mushi mara baada ya kuwakabidhi, Benki ya NMB imewafungulia akaunti za watoto kwa kila mtoto na kuwawekea shilingi milioni 10 ikiwa ni kuwasaidia wazazi na watoto hao hapo baadaye. Baadhi ya maofisa wa Benki ya NMB wakiwa katika picha na familia ya Bwana na Bibi Abednego Andrew Mafuluka pamoja na watoto wao mapacha wanne mara baada ya kukabidhiwa mfano wa hundi ya msaada.
No comments:
Post a Comment