“Mimi mwenyewe najisikia hadi amani kwamba there is no beef, maisha yanaendelea, mimi sijarudiana na Diamond, mimi namrespect kama msanii, nampenda Diamond kama msanii and I love his music and I am so glad tumeweka all this behind,”
Mimi sina bifu na Zari na sijawahi kuwa na bifu na mwanamke wake yeyote Nasib, kwasababu huwa naona matatizo yangu mimi na Nasib ni mimi na yeye, Zari hana makosa, katongozwa, amedetiwa, amewekwa ndani, hana makosa hata kidogo huyo mwanamke
No comments:
Post a Comment