WAKALA WA UNUNUZI SERIKALINI GSPA KATIKA MAONYESHO YA NANENANE LINDI
Meneja masoko na mauzo wa wakala wa ununuzi serikalini GPSA Hamza hasani (wa kwanza kushoto) akitoa maelezo juu ya huduma zinazotolewa na wakala hao kwa mteja Bi NURU CHIWAMBA aliyetembelea kwenye banda la wakala hao kwenye maonyesho ya nanenane viwanja vya Ngongo mkoani Lindi , (kulia ni Huseni Athumani Muhasibu wa GPSA mkoa Lindi na katika Meneja wa GPSA Mkoa wa Lindi Mwakiselu Mwambange )
wafanyakazi wa wakala wa wakala wa ununuzi serikalini GPSA wakiwa kwenye banda lao lililopo kwenye viwanja vya ngongo mkoani LINDI wakala wa ununzi serikalini lengo kuu na
No comments:
Post a Comment