Tuesday, 2 August 2016

TAMASHA LA MAADILI LILIVYO TIKISA DAR

tic1Mbunge wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka, akizungumza katika Tamasha la maadili kwa vijana  lililoandaliwa na Tumaini Media kupitia Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki lililofanyika Katika uwanja wa Uhuru juzi
tic2
Umati wa wananchi uliohudhuria katika tamasha hilo.
tic4Aliyekuwa mgeni wa  heshima katika Tamasha la Maadili, Balozi Paul Rupia, akizungumza katika tamasha hilo lililoandaliwa na Tumaini Media kupitia Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki lililofanyika Katika uwanja wa Uhuru juzi.
tic5tic6Kwaya ya Mtakatifu Kizito wakitumbuizaatika Tamasha la maadili kwa vijana  lililoandaliwa na Tumaini Media kupitia Jimbo Kuu la Dar es Salaam la Kanisa Katoliki lililofanyika Katika uwanja wa Uhuru ju

No comments:

Post a Comment