Wednesday, 18 May 2016

BUNDU SAFARIS NA RUNGWA GAME SAFARIS ZASAIDIA MADAWATI 60 SHULE YA MSINGI LOIBORSIRET WILAYANI SIMANJIRO



Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Kambona (kushoto) na Mkurugenzi wa kampuni za Tanzania Bundu Safaris na Rungwa Game Safaris, Harpreet Brar, wakiwa na moja kati ya madawati 60 yaliyotolewa na kampuni hiyo kwenye shule ya msingi Loiborsiret.
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Kambona (kushoto) na Mkurugenzi wa kampuni za Tanzania Bundu Safaris na Rungwa Game Safaris, Harpreet Brar, wakifurahia jambo baada ya kampuni hiyo kugawa madawati 60 kwenye shule ya msingi Loiborsiret
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Kambona (kushoto) akimpa mkono wa pongezi Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya hiyo Lucas Mweri, baada ya kumkabidhi madawati 60 ya shule ya msingi Loiborsiret yaliyotolewa na Mkurugenzi wa kampuni za Tanzania Bundu Safaris na Rungwa Game Safaris, Harpreet Brar. 

No comments:

Post a Comment