Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Ayoub Mohammed Mahmoud kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Magharibi A, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Vuai Mwinyi Mohammed kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja,kabla alikuwa Mkuu wa Wilaya Kati, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Marina Joel Thomas kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Silima Haji Haji kuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Hassan Ali Kombo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “A” Unguja, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Issa Juma Ali kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Mashavu Sukwa Said kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kati Unguja, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Idrissa Kitwana Mustafa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akimuapisha Mhe,Salama Mbarouk Khatib kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chakechake Pemba, hafla iliyofanyika jana katika ukumbi wa Ikulu Mjini Unguja, [Picha zote na Ikulu
No comments:
Post a Comment