Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ulinzi wa Zambia, Christopher Mulenga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Keneth Kaundauliopo Lusaka Mei 23, may 2016 ambako kesho atamwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB.
|
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Watanzania bada ya kuwasili kwenye hoteli ya Intercontinental iliyopo Lusaka baada ya kuwsili Mei 23, 2016 ambako kesho atamwakilisha rais John Magufuli kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu |
No comments:
Post a Comment