Monday, 23 May 2016

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI LUSAKA, ZAMBIA, KWENYE MKUTANO WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA AFDB



Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ulinzi wa Zambia, Christopher Mulenga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Keneth Kaundauliopo Lusaka  Mei 23, may 2016 ambako kesho atamwakilisha Rais John Magufuli kwenye mkutano wa  Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB.

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Watanzania bada ya kuwasili kwenye hoteli ya Intercontinental iliyopo Lusaka baada ya kuwsili  Mei 23, 2016 ambako kesho atamwakilisha rais John Magufuli kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment