Mkazi
wa Kijiji cha Kemuyak wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha Bwana
Kalangangwe Lanya Vii akitoa maoni yake kwa Kamati ya kukusanya Maoni ya
kuboresha Sera ya Taifa ya Ardhi ya 1995 kuhusu suala la kupewa
kipaumbele utoaji wa hati miliki kwa wanavijiji hasa wafugaji.
Wakazi
wa kijiji cha Oldonyo Sambu wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha wakijaza
dodoso la kukusanya maoni ya kuboresha Sera ya Taifa ya Ardhi ya 1995
ili kuwa na Sera ya Ardhi itakayotatua changamoto zao na nchi kwa
ujumla.
No comments:
Post a Comment