Mkandarasi wa Estim Construction anayejenga daraja la Ruvu chini akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof.Makame Mbarawa alipokagua ujenzi huo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wa Estim Construction kukamilisha ujenzi wa Daraja la Ruvu chini kwa wakati.
Muonekana wa nguzo za Daraja la Ruvu chini lenye urefu wa mita 140 ambalo ujenzi wake unaendelea katika barabara ya Msata-Bagamoyo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa akikagua vifaa vitakavyofungwa kwenye kingo za Daraja la Ruvu chini ili kukabili mafuriko.
Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Eng. Manase Ole Kujan (Kushoto), akitoa taarifa ya kikao kazi kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa (Katikati) katika mafunzo elekezi kwa Watendaji wakuu, Mameneja na Wazalishaji wa wakala huo mkoani Morogoro.
No comments:
Post a Comment