Sunday, 22 May 2016

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI AWAHIMIZA WATANZANIA KUUPENDA UTAMADUNI WAO

3Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel akiongea na wadau mbalimbali wa Sanaa wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
1Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel kushoto akipokea picha ya Rais John Pombe Magufuli kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utamaduni Bi. Lilly Beleko iliyochorwa na msanii wa Kitanzania Bw.Furaha Mwakitalu wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
2Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Profesa Elisante Ole Gabriel aliyeshika picha ya Rais akifurahia jambo na mchoraji wa picha hiyo Bw. Furaha Mwakitalu wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
54Baadhi Ya wasanii wakionyesha umahiri wao wakati wa maadhimisho ya Wiki ya Uanuwai wa Utamaduni Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.
(Picha na Benjamin Sawe)

No comments:

Post a Comment