Sunday, 22 May 2016

PSPF YATOWA ELIMU KWA WASTAAFU WA JAMUHURI YA MUUNGANO ZANZIBAR KUJIUNGA NA MFUKO WA MPANGO WA UCHANGIAJI KWA HIARI WA PSPF.

Mwanachama wa Jumuiya ya Waastafu wa Muungano akisoma risala kwa Wajumbe wa Mfuko huo wakati wa Mkutano Mkuu wa Jumuiya hiyo uliofanyika katika Ukumbi wa Jengo la Sanaa Rahaleo chini ya Ufadhili wa PSPF kwa Kutoa Elimu ya Kujiunga na Mfuko huo kwa Hiari.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Wastaafu wa Jamuhuri ya Muungano wakisikiliza risala ya Mkutanmo Mkuu wa Mwaka ikisomwa wakati wa mkutano huo.
Mgeni rasmin wa Mkutano huo Mkuu wa Jumuiya ya Wastaafu Mhe Nassor Salum Jaziri Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni akiwa na Viongozi wa Jumuiya hiyo meza kuu.
Wajumbe wa Mkutano Mkuu wakifuatilia Mkutano huo Mkuu.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wastaafu wa Jamuhuri ya Muungano Zanzibar Ndg Khamis Rashid, akizungumza kabla ya kumkaribisha Mgeni Rasmin Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo Zanzibar Mhe Nassor Salum Jazira kuufungua mkutano huo Mkuu wa Mwaka uliofanyika katika ukumbi wa Jengo Sanaa Rahaleo Zanzibar.  

No comments:

Post a Comment