KOMBE
LATUA JANGWANI: Chereko na nderemo uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam
wakati Waziri wa Kilimo Mwigulu Nchemba akiikabidhi Yanga Kombe la Ligi
Kuu. Huu ni ubingwa wa 26.Yanga walikabidhiwa kombe hilo na Waziri wa
Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Mh Mwigulu Nchemba, ambae ndie alikuwa mgeni
rasmi.
No comments:
Post a Comment