Mwenyekiti wa CCM, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete akimkaribisha Ofisini kwake, Balozi wa zamani wa Marekani hapa nchini Tanzania, Balozi Charles Stith, alipomtembelea kwa ajili ya mazungumzo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mjini Dar es Salaam, leo Juni 3, 2016. (Picha na Bashir Nkoromo)

No comments:
Post a Comment