Tuesday, 7 June 2016

SHARON MWAKIFULEFULE ASHEREHEKEA SIKU YA KUZALIWA NA WATOTO YATIMA WA KITUO CHA YATIMA TRUST FUND



 Mtoto Sharon  Mwakifulefule (kushoto) akisalimiana mmoja wa watoto wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Mbagala Chamanzi jijini Dar es Salaam, wakati alipokwenda kituoni hapo  kwa ajili ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto wenzake ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari.
 Mtoto anayelelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund cha Mbagala Chamanzi , Abdul ,akiwa na wenzake wakati Mtoto Sharon Mwakifulefule alipokwenda  kituoni hapo  kwa ajili ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto wenzake ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari.
Watoto wa kituo cha Yatima Trust Fund  cha Mbagala Chamanzi wakionyeshwa na mlezi wa kituo hicho Yessaya Mwakifulefule jinsi ya kutumia simu wakati alipofika hapo paoja na mwanae Sharon ( 7) (hayupo pichani) kituoni hapo  kwa ajili ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto wenzake ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari.
 Sharon Mwakifulefule (7) akiwaelekeza watoto wanaolelewa katika kituo cha Yatima Trust Fund kilichopo Mbagala Chamzanzi jijini Dar es Salaam, jinsi ya kutumia simu wakati alipofika  kituoni hapo  kwa ajili ya kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa pamoja na watoto wenzake ambapo alitoa msaada wa vyakula na madaftari

No comments:

Post a Comment