Wednesday, 22 June 2016

PROFESA MBARAWA AFUNGUA MKUTANO WA 19 WA USAFIRI WA ANGA.

b1Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akifungua mkutano wa 19 wa  Usafiri  wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Dar es Salaam jana (leo).
b2Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya Usafiri wa Anga nchini (TCAA) Bwana Hamza  Johari akifafanua jambo katika mkutano wa 19 wa  Usafiri  wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Dar es Salaam jana (leo).
b3Mkuu wa oganaizesheni ya Usafiri wa Anga kwa nchi za SADC Bwana Geofrey Moshabesh akitoa taarifa ya utekelezaji wa masuala ya usalama wa anga kwa wajumbe wa mkutano wa  19 wa  Usafiri  wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) jijini Dar es Salaam jana (leo).
b4Wajumbe wa  Mkutano wa 19 wa  Usafiri  wa anga kwa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC)  wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa.
(Picha na Benjamin Sawe-Maelezo).

No comments:

Post a Comment