Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Utumishi na Utawala Bora, George Simbachawene (wapili kulia) na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera, Bunge, Kazi,Vijana, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama watatu kulia) bungeni mjini Dodoma Juni 22, 2016. Wengine kutoka kushoto ni Mbunge wa Babati Vijijini Jitu Vrajlal Son, , Mbunge wa Bukoba Vijijini Jasson Rweikiza,Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde, Mbunge wa Korogwe Stephen Ngonya na Mbunge wa Kilolo Venance Mwamoto.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akiwa katika picha ya pamoja na Wananchi kutoka jimbo la Ukongwa waliotembeklea bunge kwa mwaliko wa Mbunge (wapili kulia) Juni 22, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Waziri wa nchi, Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Utumishi, na Utawala Bora , George Simbachawene (kulia) na Mbunge wa Mbulu Vijijini Flatei Massay (kushoto) kwenye viwanja vya bunge mjini Dodoma Juni 22, 2016. Wapili kushoto ni Mosses Kirway na wapili kulia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu yaTaifa ya CCM, Thomas Lulu, wote wakiwa ni wageni waliotembelea Bunge wakitoka Mbulu.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment