WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Baraza La Mapinduzi Issa Haji Gavu akizungumza na Mgeni wake Katibu Mkuu Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun baada ya kukamilisha ziara yake Nchini Zanzibar.
VIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi CCM wakimsindikiza mgeni wao Katibu Mkuu Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun wakati alipofika Bandarini Mjini Zanzibar.
MWENYEKITI wa CCM Wilaya ya Mjini Borafya Silima Juma akiagana na Katibu Mkuu Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun alipokuwa akiondoka Bandarini na kuelekea Dar es Saalamu.
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharib Ayoub Mohammed akiagana na Katibu Mkuu Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun alipokuwa akiondoka Bandarini na kuelekea Dar es Saalamu.
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Baraza La Mapinduzi Issa Haji Gavu akiagana na Katibu Mkuu Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun alipokuwa akiondoka Bandarini na kuelekea Dar es Saalamu.KATIBU Mkuu Chama cha Kikoministi Bw. Liu Zhijun aliyevaa nguo nyeusi akiingia katika Boti ya AV KILIMANJARO alikielekea Dar es Saalamu baada yakumaliza ziyaza yake Zanzibar.
PICHA NA MIZA OTHMAN – HABARI MELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment