Kesi iliyokuwa ikiunguruma kuanzia Februari 29 ,2016 katika Mahakam Kuu jijini Arusha imetolewa hukumu leo hii
Katika
shauri hilo aliyekuwa mgombea ubunge wa CCM jimbo la Longido Dkt
Kiruswa alifikisha mahakamni shauri hilo la kupinga matokeo ya ushindi
dhidi ya mbunge wa Longido Mh.Onesmo Nangole.

Akisoma hukumu
hiyo,Jaji Mwagesi alisema kuwa mlalamikaji ndugu Kiruswa aliwakilishwa
na Wakili msomi Dr.Masumbuko Lamwai na Wakili Haraka.Katika shauri
hilo,dai la msingi la mlalamikaji bwana Kiruswa lilikua ni:

1.Kutumika kwa lugha ya matusi na kashfa wakati wa kampeni kutoka kwa mh Onesmo Nangole.
2.Kuwepo kwa wapiga kura kutoka nchi jirani ya Kenya walioletwa na Mh Nangole
3.kutumika kwa magari ya Chadema kwenye kusindikiza na kubebea masanduku ya kupigia kura
4.Mkurugenzi wa Uchaguzi kutangaza matokeo baada ya mgombea wa CCM kutolewa nje.
5.Kutokea kwa vurugu ndani ya chumba cha kuhesabu matokeo
Kutokana
na madai hayo na kwa kuzingatia kanuni,sheria na ushahidi uliotolewa
pamoja na vielelezo na mashahidi wa pande zote mbili,Jaji kutoka
mahakama kuu Bukoba Mh.Jaji Mwagesi alisema;”Kutokana na kuzingatia
viini vyote vya shauri hili kama vilivyosikilizwa na kwa mujibu wa
sheria,Natamka kwamba;

Mahakama hii imetengua shauri hili na kwa
kujiridhisha kwamba mchakato mzima haukuwa wa haki na huru hivyo
mahakama inaamuru uchaguzi urudiwe upya.

No comments:
Post a Comment