Thursday, 23 June 2016

RAIS DKT. MAGUFULI ALIPOKABIDHIWA TAARIFA YA UCHAGUZI MKUU WA 2015


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli (kulia) na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damiani Lubuva wakiwa wameinua juu vitabu vya Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2015 wakati mwenyekiti huyo alipomkabidhi Rais taarifa hiyo Ikulu jijini Dar es Salaam leo

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Mstaafu Damian Lubuva akimkabidhi Rais Dkt John Pombe Magufuli Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwa uliofanyika Novemba 25, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akizungumza na hadhira baada ya kukimkabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
.

Baadhi ya waalikwa wa hafla ya hafla ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kukabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwa uliofanyika Novemba 25, 2015.

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu wakati wakisubiri Rais Dkt. John Pombe Magufuli kukabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo

Baadhi ya viongozi wa dini waliohudhuria hafla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumkabidhi Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 , Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Mwanasheria Mkuu Mstaafu Jaji Mstaafu Mark Boman akiteta jambo na Mkurugenzi wa Uchaguzi Mstaafu wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Rajab Kiravu kwenye hafla ya tume hiyo kumkabidhi Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Baadhi ya Mabalozi waliohudhuria hafla ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumkabidhi Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015, Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF) Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) akiwa na Wakuu wa Vikosi vya Majeshi, Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Ernest Mangu, na Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, Rashid Othman, Kamishna Jenerali wa Magereza John Minja, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Kamishna Mstaafu Valentino Mlowola na Kamishna wa Uhamiaji (Sheria) Said Kamugisha wakiwa kwenye hafla ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli kukabidhiwa Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani uliofanyika Novemba 25, 2015 na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) iliyofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo

No comments:

Post a Comment