Baadhi
ya Wabunge wa Majimbo mbalimbali wakielekea katika Ukumbi wa Bunge
mjini Dodoma tayari kwa vikao vya asubuhi leo 11 Mei, 2016.
Mbunge
Iringa Mjini, Mhe. Mchungaji Peter Msigwa (kushoto) pamoja na Mbunge wa
Arumeru Mashariki Joshua Nassari wakiwapungia mkono Wapiga picha
(hawapo pichani wakati wakiingia Bungeni kwa ajili ya vikao
vinavyoendelea mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment