Wednesday, 11 May 2016

RAIS MSTAAFU JK AKUTANA NA WAANDISHI WA HABARI KUTOKA MALARIA NO MORE


JKE1Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani leo jijjini Dar es salaam, waandishi hao wapo nchini kwa ziara ya siku tano kujionea namna Tanzania inavyopambana na ugonjwa wa malaria.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)
JKE2Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani leo jijjini Dar es salaam, waandishi hao wapo nchini kwa ziara ya siku tano kujionea namna Tanzania inavyopambana na ugonjwa wa malaria. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya “Malaria No More” Martin Edlund.
JKE3Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiongea na waandishi wa Habari kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani leo jijjini Dar es salaam, waandishi hao wapo nchini kwa ziara ya siku tano kujionea namna Tanzania inavyopambana kutokomeza ugonjwa wa malaria.
JKE4Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya waandishi wa Habari kutoka Taasisi ya “Malaria No More” ya nchini Marekani leo jijjini Dar es salaam, waandishi hao wapo nchini kwa ziara ya siku tano kujionea namna Tanzania inavyopambana kutokomeza ugonjwa wa malaria.
Chamzo JMABULA

No comments:

Post a Comment