Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma May 5, 2016. pichani kati ni Mbunge wa Urambo, Magreth Sitta .
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion, Alex Msama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma May 5, 2016. (PIcha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments:
Post a Comment